burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

7 Okt 2016

Diamond: Zari ndiye model niliyewahi kumlipa hela nyingi

Mkali wa ‘Salome’ na mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema katika ma-model wa video aliowahi kuwalipa fedha nyingi ni mpenzi wake Zari.
b4d028cf9e4917d29a806b0b62b00ae8
Alimtaja Zari alipoulizwa kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM na mtangazaji Lil Ommy aliyetaka kumjua ni model gani aliyewahi kumtoboa mfuko wake zaidi.
“Zari ndio mtu nilimlipa hela nyingi katika video ya Utanipenda,” alisema.
“Unajua hata kama ni family, ni mpenzi wangu lakini inapokuja kazi lazima iwe kazi japo kuwa nilichomlipa haikuwa thamani yake, japo alifanyia kidogo favor lakini nilimlipa zaidi ya milioni kumi. Ndio model ambaye nimewahi kutoa hela nyingi tokea nimeanza kufanya muzik,” aliongeza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni