burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

9 Jan 2017

Alikiba atoa ratiba ya tour ya Marekani mwaka huu


Mwaka 2017 utakuwa ni wa ubusy mwingi kwa Alikiba.
Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, hitmaker huyo wa Aje, ametangaza ratiba ya tour nyingine ya Marekani.
Mkali huyo atatumbuiza katika miji ya Las Vegas, Austin, Houston na Minnesota, Minneapolis. Ziara hizo zitaanza March 4 hadi April.

Katika tour ya SA, Kiba atazulu miji mitano ambayo ni Johannesburg, Durban, Cape Town, Pretoria na Soweto.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni