burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

9 Jan 2017

Mashabiki wa muziki Kenya wamlilia Darassa


Mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wamemlilia Darassa. Hilo limedhihirika katika ujumbe aliouandika muimbaji wa nchi hiyo, Nyota Ndogo kwenye mtandao wa InstagrAM
Kupitia mtandao huo, Nyota Ndogo aliweka picha ya mashabiki na kuandika, “@darassacmg plz kuna pesa zako kenya zinakungoja.this was my show in malindi.nimemaliza kupiga show mashabiki wanamuomba dj acheze nyimbo yako na mimi ni dance.nipo na video yani mimi ni dance.kimbia huku mara moja kabla nyimbo haijaisha ufanye tour ongea na @gatesmgenge nimzuri wakupiga debe.unamashabiki sio tz pekeake.do it now.”
gatesmgenge: @nyota_ndogo tayari mpangilio wafanywa tayari tushazungumza na @hanscana_ karibuni watu wangu wa #Malindi.

ulomchokoza:_kaja@darassacmg@darassacmg @darassacmg plzzzzzzz bro pitia hapa

cntermourice: Wimbo wa taifa unaliliwa kenya @blaze_tz

omoyut: @darassacmg ukuje huku

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni