burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

9 Jan 2017

Muziki ya Darassa yazidi kupaa kwa kasi YouTube, ndani ya siku 1 yaangaliwa mara elfu 71

Image result for DARASA MUZIKI
Video ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa uliotoka Nov 23, 2016 unaendelea kuwa gumzo Afrika Mashariki na Afrika nzima.
Video ya wimbo huyo katika mtandao ya YouTube umeangaliwa mara 3,075,185 kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Kwa mujibu wa hesabu za haraka haraka kutimia YouTube video ya wimbo huo imeandaliwa na watu 71,392 kupitia mtandao huo kwa siku ya jana.
Rapper huyo jana Jan 8, 2017 aliposti picha kuonyesha watazamaji wamefikia milioni 300,3793.
Post ambayo Darassa aliiweka jana

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni