burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

12 Jan 2017

Jobfire afanya tukio kubwa katika show za sherehe ya mapinduzi zanzibar

Msanii mkali toka KILIMANJARO Jobfire wa Melody  bado yupo katika ziara yake ya kufanya  show kali huko zanzibar hivi sasa katokea kupendwa sana huko zanzabar 

Jobfire wa melody alimwambia G.LOVETZ kuwa haya ndo malengo yake katika mwaka huu kuhakikisha mziki wangu unapendwa na kila mtu kwa mtoto na wakubwa pia,alisema jobfire wa melody
Ebhana wacha nikupe uondo wa alichokifanya huko zanzabari katika mkesha wa mapinduzi







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni