burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

5 Mei 2017

Linah apokea kichambo kwa picha hizi


Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.

Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau wa msanii huyo wamemtupia maneno huku wengine wakimtaka avae dera kama nia ni kuonesha tumbo lake.



jumalokole2Kwanza najuwaga linna ni mweupe sasa sijui kapakwa nini na tarick,, pili aya mafuta ni ya kula au ya Nazi? . Maana umekandikwa ukakandikika haswaa .
.
.
Kwani ukivaa dera tumbo alionekani? 🀑
aishahamisi38Nimekupenda bure juma wangu@jumalokole2
proud_momy90mwenzangu mimb fabg
proud_momy90mwenzangu mimba fashen siku izi ukiipata unaifanyia bday wacha tu wafanye watakavyo
alicioscuteliciousUwo mchupi sasa km power πŸ˜‚πŸ˜‚
latylicious__platnumz@jumalokole2 nakupa transfer uhame nchi hapa bongo hatukutaki utatuumiza mbavu zetu
alliyjahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wahida.yaggaMlokole wa watu jamani dunia hii @salmawahamisi
catherine_fimboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
catherine_fimboUmejua kunivunja mbavuuuuu looooo naamka tu naanza kucheka
iam__sophyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
leylakizingaMuseme nyie
justinebi4141LINA MKINGA TOKA LINI WAKINGA WEUPE
wemasepetu_tznsweetheartπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
azizasaleheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kanikera
nanaachynaSaiv ndo fashion ukipata mimba MTU una piga pic ivi jmn mambo ya kina rihana aya yameingia bongo aisee izi mimba za ki super star
rosekelvin11Aisee Mastar Mnaboa Mmeshaona Mkicha uchi mimba ndio inaonekana ,mbn wazazi wetu wa zamani walijisiti na tulizaliwa jmn ,khaaa kiukweli mnamchukiza mungu
myidolsdUmri wake unaruhusu muacheni
myidolsdUmri wake unaruhusu muacheni
munyshiNdo maana tunapata shida tunavotaka kujifungua atawekewa madrip mpk aombee poooh kujizaririshs 2 ovyooooo mxiiiiii

Hizi ni baadhi ya picha zilizopostiwa pia na watu wengine huku zikisifiwa na wengine wakiendelea kuziponda picha hizo.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni