burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

5 Mei 2017

Yanga yadaiwa kodi milioni 300


Klabu ya soka ya Yanga imethibitisha kudaiwa kodi zaidi ya shilingi milioni 300 na wizara ya ardhi ambayo ni kodi ya jengo lake lililoko eneo la Kaunda.

Katibu Mkuu wa klabu ya klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amethibitisha hilo na kusema tangu mwaka 1997 klabu hiyo haijalipa kodi la jengo hilo.

“Ni muda mrefu kodi hii ilikuwa haijalipwa, kipindi hicho kodi ilikuwa ni rahisi lakini miaka ya karibuni imekuwa ikiongezeka na kama ninavyosema na tunatakiwa kulipa milioni 56 na laki 6 kwa mwaka. Sisi kama uongozi tunafanya jitihada kubwa za kuweza kuinusuru jengo letu na Mungu akijalia itawezekana,”.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni