burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

23 Des 2016

Izzo Bizness na Abela (The Amazing) wafunguka iwapo ni wapenzi

Image result for Izzo Bizness na Abela
“Mimi na Abela ukiachana na kundi ni washkaji sana,” Izzo ameiambia Bongo5.

“Unajua sababu hata nitakuja hapa kesho nitasema sawa labda tumekuwa wapenzi tumekuja tumejibu ni wapenzi, utakosa swali la kutuuliza, unaweza ukatuuliza mtoto lini.Sisi tumeona tuwekeze kwenye kazi kwanza. Inawezekana tu kuwa na mshkaji kama huyu,” amesisitiza rapper huyo.

“Sababu wabongo unajua ukiwa na mtoto mkali tu inabidi mtu akae.”

The Amazing sasa wanafanya vizuri na wimbo wa ‘Umeniweza.’

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni