burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

23 Des 2016

Vanessa Mdee adai ataachia wimbo wake na Barnaba mwakani


Vanessa Mdee amethibitisha kufanya wimbo mwingine na Barnaba ambao utatoka mwakani.
Hitmaker huyo wa Cash Madame ambaye aliwahi kufanya wimbo wa ‘Siri’ na msanii huyo ambao ulitoka mwaka jana amesema kupitia mtandao wa Instagram kuwa wimbo huo ni moto hatari.

Kupitia mtandao huo, Vanessa ameandika:

GENIUS @barnabaclassic mkisikia kitu tumewa andalia kwa ajili ya 2017 uwiii MoTO MOTO MOTO @barnabaclassic




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni