burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

24 Des 2016

Salome na Pana zaongoza orodha ya nyimbo kubwa 10 za mwaka kwa mujibu wa tovuti ya The Gurdian ya UK


Gazeti maarufu la Uingereza, The Guardian kupitia tovuti yake, limetoa orodha ya nyimbo 10 zilizokuwa kubwa Afrika mwaka 2016. Kwenye orodha hiyo, Diamond na Alikiba wamo. Pana ya Tekno wa Nigeria imeshika nafasi ya kwanza na kufuatiwa na Salome ya Diamond na Ray Vanny.

“In the 90s, Tanzanian legend Saida Karoli’s classic Maria Salome was a hit across most of east Africa and was one of the soundtracks to Tyler Perry’s 2013 film, Peeples,” wameandika.

“More than two decades later, a remake by her compatriot Naseeb Abdul Juma – better known in these parts as the singing sensation Diamond Platnumz – has become a hit, too. The 27-year-old’s version features Wasafi Music labelmate Rayvanny and combines some of the best traditional outfits across Africa in its colourful slideshow of a video that has over 10m YouTube views. It’s a Kiswahili extravaganza.”

Kwenye collabo ya Sauti Sol na Alikiba, Unconditionally Bae wameandika: After clinching a nomination for best international act at the BET awards and getting Barack Obama to do the Lipala dance in 2015, frontline Kenyan boy band Sauti Sol’s hot streak continued this year with the stellar monochrome visuals for the a cappella hit Kuliko Jana. Their biggest work was linking with Tanzania’s Alikiba (who signed to Sony Music this year) for the dance number Unconditionally Bae, which has racked up over 4m YouTube views.”

Hii ni orodha nzima:

Tekno – Pana
Diamond Platnumz feat Rayvanny – Salome
Mr Eazi feat Joey B and Dammy Krane – Hollup
Patoranking feat Sarkodie – No Kissing Baby
Babe Wodumo feat Mampintsha – Wololo
Eugy x Mr Eazi – Dance for Me
Kwesta feat Cassper Nyovest – Ngudu
Yemi Alade – Koffi Anan
DJ Maphorisa feat Wizkid, DJ Buckz – Soweto Baby
Sauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni