burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

27 Des 2016

Madee aumizwa na picha za Chid Benz mtandaoni


Madee ameonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya watu kumpiga picha Chid Benz na kuzisambaza mtandaoni.

Hitmaker wa Migulu Pande kupitia mtandao wa Twitter ametoa yake ya moyoni kwa kusema kuwa kitendo cha kumpiga picha rapper huyo na kumuanika mitandani ni kumdhalilisha.

“Hawa wanaompigapiga picha @ChidiBeenz na kupost kwenye mitandao yao lengo lao kubwa ni nini?mbona tunazid kumdhalilisha?au mnataka kiki?,” ameandika Madee.

Kuna uwezekanao mkubwa kauli hiyo ya Madee imekuja baada ya kuona kipandwe cha video alichopost Solo Thang kwenye mtandao wake wa Instagram akiwa na Chid Benz huku afya yake ikionekana kuzidi kuwa mbaya.

Maoni 1 :

  1. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma,

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta