burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

18 Des 2016

MWAKANI NITANYA MAMBO MAKUBWA KATIKA MZIKI WANGU-JOBFIRE WA MELODY

Picha ya Jobfire Wa MeLody


Msanii mkali toka kilimanjaro jobfire wa melody kasema mwaka ujao atafanya mambo makubwa katika mziki wake
Jobfire wa melody akiongea na g.lovetz kasema hivi sasa yupo zanzibar kwa ajili show ya aina yake huko zenji pia kasema mwaka huu unaoisha kafanya mengi makubwa katika mziki wake ila mwakani lazima aweke historia mana kajipanga vya kutosha
wikiendi ijayo jobfire wa melody kasema "Naomba Tukutane Pale Uwanja Wa Amani Zanzibar Tarehe 25 Keshokutwa Kwa Show Kalikali"
hakiaka hii si ya kukosa kwa wewe mpenda burudani alafu getini utandosha mtonyo kiduchu tu na burudani yenye ujazo wa nguvu ndani yake

Picha ya Jobfire Wa MeLody

mkali huyo akiwa safarini kuelekea zenji kinachofwata subiri uone mwenyewe ni burudani tu hakuna kingine JIPANGE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni