burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

14 Apr 2017

BAADA YA DAYNA NYANGE KUSEMA HAMJUI KALA JEREMIAH HATIMAE AMJIBU


Msanii wa Bongo Fleva Dayana Nyange wiki moja iliyopita alinukuliwa kwenye vyombo vya habari akisema kuwa hamfahamu rapa anaeitwa  Kala Jeremiah hatimae mkali huyo wa Single ya ‘Wanandoto’.

Kala Jeremiah amesema alipokea kawaida taarifa hizo ingawaje kwa siku ya kwanza kupokea kutoka kwa watu waliomfikishia ujumbe walimfanya ajisikie vibaya kwasababu hakujua Dayna alikusudia nini kusema hivyo.

“Nadhani alinogewa tuu kusema hivyo siku moja kuwa hanifahamu.. sisi ni washikaji alitania tuu,Mimi nilishangaa kwasababu niliambiwa sikumuona kwenye Interview nahisi hakuwa sirious“Alisema Kala Jeremiah kwenye mahojiano yake na EATV.

Mrembo Dayna Nyange wakati akihojiwa na eNEWS akiwa mbele ya kamera alisikika akisema “Mmezima kamera mbona mnaniulizia huyo Kala mimi simjui mbona mnataka kumpa kiki?“

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni