burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

14 Apr 2017

Baada ya Diamond Iyo wa Nigeria kufanya ngoma na Vanessa Mdee


Iyo ni mkali kutoka +234 aliyejizolea umaarufu mkubwa Bongo baada ya kufanya ngoma na Diamond Platnumz, Loving You ambayo imefanya vizuri kwenyeredio na TV Stations hapa nchini.

Siku ya jana,kupitia ukurasa wangu wa Twitter,nilitweet kuhusu ujio wa interview nitakayofanya na mkali huyo siku ya Jumatatu kupitia kipindi changue cha Power Point(Supermega) ya Kings Fm, huku nikiambatanisha na tamanio langu la kuona siku moja mkali huyo akifanya collabo na Diva wa +255,Vanessa Mdee.

Muda mchache baadaye, Iyo akaretweet tweet hiyo na kuandika “Lit” na kum-mention Vanessa Mdee akionyesha utayari wake.

Inawezekana tukasikia collabo ya wawili hawa muda wowote kuanzia sasa na bila shaka itakuwa moja ya collabo za kipekee sana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni