burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

21 Apr 2017

Stan Bakora aachia Parody ya ‘Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko


Show Me ya Harmonize na Rich Mavoko ni moja kati ya nyimbo ambazo zimeonekana kufanya vizuri katika kipindi kifupi hasa video yake ikionekana kupendwa zaidi kutokana na kusheheni warembo kibao wanaosakata rumba na viuno vya kufa mtu.

Mchekeshaji maarufu nchini, Stan Bakora naye ni mmoja ya watu waliovutiwa na wimbo huo na kuamua kuufanyia parody ya dakika moja na nusu kwa ajili ya kuuongezea nguvu zaidi wimbo huo. Tazama video hiyo hapa chini.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni