burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

13 Apr 2017

Tumebakiza week moja na siku kadhaa sasa endelea kunipigia kura - WALTER CHILAMBO


Walter chilambo kwa sasa yupo kwenye kuwania tuzo za gospel media afunguka kwa page yake ya instagram akisema

"Nakukumbusha kuendelea kunipigia kura kupitia Link hiyo hapo juu ili kuniwezesha kushinda tuzo za GospelMedia unaruhusiwa kupiga Mara tatu kwa siku Ni bure kabisa,kwenye kipengele cha Muimbaji Bora mpya wa gospel, asante kwa ushirikiano wako na Mungu akubariki sana."

jinsi ya kumpigia kura walter chilambo gusa  HAPA kisha utaona neno vote now hapo ndo utakuwa umeweza kumpigia kura
walterchilambotz Vote for me plz na Mungu awabariki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni