burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

22 Apr 2017

Bodi ya filamu yatoa taarifa juu ya sakata la filamu za nje


Bodi ya Filamu nchini imetoa taarifa juu ya habari zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu serikali kuzuia uingizaji, usambazaji na uuzaji wa filamu za kigeni nchini, kwa madai kuwa serikali ina lengo la kuwalazimisha wananchi kuziangalia filamu za ndani (bongo movie)  kinyume na matakwa ya soko huria.

Hata hivyo bodi hiyo imekanusha taarifa hizo, kuwa sizo za kweli kupitia taarifa yake ifuatavyo;

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni