burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

15 Apr 2017

BEN POL AWASHAURI JAMBO WASANII WENZAKE




 Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol amewatoa hofu wasanii wenzake wanaohofia kutoa ngoma kwa kuogopa kipindi hiki cha ongezeko la habari za mivutano ya kisiasa kwa kuwapa ushauri mahsusi wa kuendana na nyakati.

Ben Pol ambae anafanya poa na ngoma yake ya Phone amesema dawa pekee ya kuendana na wakati huu ni kutoa ngoma kali ambazo zitawafanya mashabiki wengi warudi kwenye reli wenyewe na sio kusubiri mpaka vugu vugu za mambo ya kisiasa zipunguwe.

“Hatuwezi kufuata upepo wa Siasa, inabidi tuwatoe wanasiasa kwenye Reli, Shusha madude ya hisia mpaka watu wote wahame..”Ameandika Ben Pol kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni