burudan

https://share.bannersnack.com/bdtkqutzy/

17 Apr 2017

Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto


Habari njema kutoka kwa hitmaker wa Kwetu, Raymond. Staa huyo na mpenzi wake, Fahyma wamebahatika kupata mtoto.

Taarifa za kupata mtoto zimetolewa na Rayvanny kupitia Instagram.


“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto 😂😂😂 NAKUPENDA!!,” ameandika msanii huyo wa WCB.

Tunawapongeza wawili hao kwa hatua hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni